Shamba la mimea kama Viazi huathiriwa na wadudu na magonjwa. Furaha kwa Mkulima kwani #TwigaChemicals imelete suluhu ya kupambana na wadudu na magonjwa yanayopatikana kwenye shamba la viazi. Jiunge na Mtalaamu wetu akitufunza kwa ufasaha kuhusu Upanzi wa viazi. #Twigalaxyl #Twigaace #Macarena #LIMANATWIGACHEMICALS