#TwigalickJoto ni chumvi maalum ya kuongeza Joto. Jiunge na mtalaamu wetu akitujuza mengi kwa ukamilifu jinsi ya kumlisha na kumpa virutubisho Mori wako. Baada ya kipindi unaeza kuwa mshindi, ukijibu maswali yatakayoulizwa. Watu watatu wa kwanza kujibu maswali kwa usahihi watatunukiwa zawadi kutoka #Twigachemicals