| 0742 967 573
Have an Inquiry?

News

MANUFAA YA VIRUTUBISHO VYA MADINI KWA NG’OMBE WA KUKAMUA

Je? Wewe ni mkulima wa ng’ombe wa maziwa?
Ungependa kujua jinsi ya kuongeza uzalishaji wa maziwa hadi kiwango cha juu? Jiunge na mtaalam wetu wa afya ya wanyama Dr. Francis Mwangi, Wakati anatuelimisha juu ya kuongeza virutubisho madini.